Deuteronomy 31:12

12 aKusanya watu wote, wanaume, wanawake, watoto na wageni wanaoishi katika miji yenu, ili waweze kusikia na kujifunza kumcha Bwana Mwenyezi Mungu wenu na kufuata kwa bidii maneno yote ya sheria hii.
Copyright information for SwhKC